Sunday, December 10, 2017

Liverpool kutengeneza rekodi leo mbele ya Everton



Kabla ya mchezo kati ya Manchester United vs Manchester City dunia itashuhudia mchezo mkubwa mwingine nchini Uingereza ambapo majogoo wa London Liverpool watakuwa nyumbani kuikaribisha Everton.

SHUJAA WA TAIFA KUZIKWA LEO


Viongozi wakuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais Wallace Karia na Makamu Rais Michael Wambura wataongoza ujumbe wa shirikisho

Watanzania wakerwa na kikosi cha timu ya kilimanjaro stars


 








 
 
 
 
 Wapenda soka wengi nchini wameonekana kukerwa na kikosi cha Kilimanjaro Stars kilichoshiriki michuano ya Chalenji inayoendelea nchini Kenya.

Mshambuliaji mpya wa Azam afanya kitu

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 na Friends Ranger katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa jana.

RC ATOA AGIZO KWA JESHI LA POLISI


MKUU wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo ameitaka polisi mkoani humo kuwakamata watu waliowatia mimba wanafunzi 20 ambao walishindwa kufanya mitihani yao ya kumaliza darasa la saba mwaka huu.

UNAJUA KUHUSU MAISHA YA BABU SEYA

Baada ya kusota gerezani kwa miaka 13 na miezi minne, wakitumikia kifungo cha maisha, hatimaye mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanae, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ jana walirejea uraiani kwa msamaha wa Rais John Pombe Magufuli

Jose Mourinho hautabiriki.


Kocha wa Manchester United,  amesema mchezo mkubwa baina yao na Manchester City chini ya Kocha Pep Guardiola