Saturday, January 6, 2018

COUTINHO ASAINI MIAKA MITANO NA NUSU BARCELONA

Mbrazil Philippe Coutinho amesaini mkataba wa miaka mitano na nusu kujiunga na Barcelona


Takwimu za Coutinho Liverpool 

2012-13 Mechi 13, mabao 3
2013-14 Mechi 37, mabao 5
2014-15 Mechi 52, mabao 8
2015-16 Mechi 43, mabao 12
2016-17 Mechi 36, mabao 14
2017-18 Mechi 18, mabao 12 
HATIMAYE Philippe Coutinho ni mchezaji mpya wa Barcelona ya Hispania baada ya uhamisho wa Pauni Milioni 145 kutoka Liverpool.  
Picha zilimuonyesha kiungo huyo Mbrazil akisafiri

No comments:

Post a Comment