Sunday, November 12, 2017

ARGENTINA YAILAZA 1-0 URUSI

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Sergio Aguero akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Argentina bao pekee dakika ya 86 ikishinda 1-0 dhidi ya wenyeji, Urusi usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki Luzhniki mjini Moscow katika mchezo wa kirafiki

No comments:

Post a Comment