UJERUMANI NA ENGLAND HAKUNA MBABE...ZATOKA SARE 0-0
Mshambuliaji
wa Manchester United, Marcus Rashford (kulia), akigombea mpira na
kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil wakatia wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa
baina ya England na Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Wembley, London
timu hizo zikitoka sare ya 0-0
No comments:
Post a Comment