Sunday, November 5, 2017

ARSENAL WAKO TAYARI KWA KIBARUA CHA LEO



Arsenal wamesafiri hadi jijini Manchester kwa mechi yao ya leo dhidi ya Manchester City.

Katika mazoezi yao, wameonekana ni wenye furaha na wako tayari kwa ajili ya mchezo huo.

Mechi tatu zilizopita zinaonyesha sare mbili na moja Arsenal walipoteza. Inawezekana ikawa nafasi yao nzuri kujisogeza katika nafasi nzuri katika msimamo wa Ligi Kuu England.


Lakini haitakuwa mechi rahisi na lazima vijana wa Arsene Wenger wafanye kazi ya ziada. 

No comments:

Post a Comment