MAHASIMU WA MADRID LEO
Mshambuliaji
Cristiano Ronaldo akionekana mwenye kujiamini wakati wa mazoezi ya Real
Madrid jana katika viwanja vyao vya mazoezi vya Valdebebas mjini
Madrid, Hispania kujiandaa na mchezo wa leo wa La Liga dhidi
ya Atletico Madrid Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid
No comments:
Post a Comment