Saturday, November 11, 2017

UFARANSA YAICHAPA 2-0 WALES














Antoine Griezmann akijipinda kuifungia Ufaransa bao la kwanza dakika ya 18 Uwanja wa Stade de France mjini Paris katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Wales kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana. Bao la pili lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 71

No comments:

Post a Comment