Saturday, November 18, 2017

WELBECK YUPO FITI KUIKABIRI SPURS LEO

 


















Mshambuliaji Danny Welbeck akimruka kipa Petr Cech anayedaka mpira chini wakati wa mazoezi ya Arsenal jana viwanja vya Colney,
London wakijiandaa na mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Tottenham Hotspur Uwanja wa Emirates, London

No comments:

Post a Comment