Ndemla tayari yuko jijini Stockholm jijini Sweden akijiandaa na kuanza majaribio na timu hiyo imetoa siku 14.
“Bado
mechi mbili za ligi, AFC imekuwa ikipambana kubaki Ligi Kuu Sweden.
Lakini Ndemla ameishapata nafasi ya majaribio na ataungana na wenzake
Jumatatu,”
Ndemla ameondoka nchini juzi baada ya kuitumikia Simba katika mechi dhidi ya Mbeya City mjini Mbeya.
No comments:
Post a Comment