Buswita atacheza namba saba na Daud atacheza namba nane lakini watakuwa wanaweza kupishana.
Uamuzi huo wa Lwandamina unatokana na kuona anamkosa kiungo wake Thabani Kamusoko ambaye ni majeruhi.
“Buswita ni saba na Daud nane, lakini wanaweza kuwa wanabadilishana kulingana na hali ilivyo,”
“Unajua rotation (mzunguko) itafanya wawe na nafasi ya kupumzika na kushirikiana kulidhibiti eneo la katikati,” alisema.
No comments:
Post a Comment