Mayanga
amewataja makipa Aishi Manula, Peter Manyika na Ramadhani Kabwili
kuunda kikosi hicho wakisaidiwa na mabeki ni Boniphace Maganga, Abdi
Banda, Gadiel Michael, Kelvin Yondani, Nurdin Chona, Erasto Nyoni na
Dickson Swai.
Kwenye orodha hiyo viungo ni Himid Mao,
Hamis Abdallah, Mzamiru Yassin, Raphael Daudi, Simon Msuva, Shiza
Kichuya, Ibrahim Ajib, Mohamed Issa, Farid Mussa na Abdul Mohamed.
Washambuliaji ni Mbwana Samatta, Mbaraka Yusuph, Elias Maguli na Yohana Mkomola.
Shirikisho la soka nchini TFF
limekubaliana na timu ya taifa ya Benin kuwa ndio timu ambayo itacheza
na Taifa Stars kwenye mchezo huo wa Kalenda ya FIFA Novemba 11.
No comments:
Post a Comment