Raila Odinga
Odinga
ameyasema hayo jana wakati akiwahutubia wafuasi wake jana eneo la Bondo
ambapo amewaambia kwamba hana imani kama uchaguzi utakuwa wa huru na
haki.
Aidha Bw Odinga amewataka Wafuasi wake
wattulie n kumsikiliza kwabni atawapa maelekezo ya nini cha kufanya siku
ya Jumatano ya Oktoba 25, ambayo itakuwa siku moja kabla ya uchaguzi.
"Tumesema hakuna uchaguzi
tarehe 26, wameanza kuleta jeshi hapa. Lakini sisi siyo wajinga. Kwa
hiyo tarehe 25 mnisikilize kwa makini sana nitatoa ujumbe kwenu," Odinga.
No comments:
Post a Comment