Saturday, October 28, 2017

PATACHIMBIKA KESHO ANTHONY JOSHUA NA CARLOS TAKAM


Bondia Anthony Joshua (kushoto) akitunishiana msuli na mpinzani wake, Carlos Takam wakati wa kupima uzito leo kuelekea pambano lao la uzito wa juu kesho
Uwanja wa Principality mjini Cardiff kuwania ubingwa wa dunia wa WBC

No comments:

Post a Comment