Taarifa
kutoka kwa Mwandishi wetu amesema kwamba Taarifa ambazo bado
hazijathibitishwa na serikali ya nchi hiyoimesema kwamba wealiokuwepo
ndani ya ndege hiyo ni wanasiasa wa Jubilee ambao walikuwa wakienda
kufanya kampeni
Haijabainika ni wanasiasa wa Kiwango kipi ambao walikuwepo ndani ya ndege hiyo iliyoanguka.
Taarifa iliyotolewa kwa wanahabari naMkuu wa kukabiliana na majanga haijasema chanzo kilichosababisha ndege hiyo kuanguka.
Hata hivyo inadaiwa kwamba nchi hiyo tangu usiku wa kuamkia leo kulikuwa na mvua kubwa.
Msemaji wa serikali anatarajiwa kuzungumza kutoa taarifa kamili pamoja na idadi ya hao wanasiasa.
Endelea kufuatilia Dossantostz.com kwa Taarifa zaidi.
No comments:
Post a Comment