Nahodha wa Brazil, Neymar na wenzake wameendelea na mazoezi huku wakijiburudisha na mchezo wa Teqball.
Mchezo huo ni ule unaotumia mpira katika katika meza maarufu kama table tennis ambavyo huchezwa.
Hivi
karibuni, wachezaji wa Brazil walikuwa katika wakati mgumu wakati
waliposhindwa kupumua vizuri kutokana na uzito wa hewa wakati wakiivaa
Bolivia hali iliyosababisha waongezewe hewa.

No comments:
Post a Comment