WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO YATOA TAARIFA KUHUSU SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE KITAIFA
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Watoto Bi Magreth Mussai
akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma kuhusu Maadhimisho ya
Siku ya kimataifa ya Mtoto wa Kike yatakayofanyika kitaifa Wilayani
Tarime Mkaoni Mara
Oktoba 11 mwaka 2017 kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa
Manunuzi Bi. Martha Chuma na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Jamii Bw. Patrick Golwike.
Baadhi ya watendaji wa Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakifuatilia mkutano
kati ya Waandishi wa Habari na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya
Watoto Bi Magreth Mussai(hayupo pichani) wakati akitoa taarifa kuhusu
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yatakayofanyika
kitaifa Wilayani Tarime Mkaoni Mara Oktoba 11 mwaka 2017.
Picha Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW ………………
TAARIFA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE ITAKAYOFANYIKA TAREHE 11 OKTOBA, 2017 KATIKA WILAYA YA TARIME, MKAONI MARA
No comments:
Post a Comment