Friday, October 6, 2017

Mfumo Mpya Spurs

Mkufunzi wa Spurs Mauricio Pochettino anataka kuwachezesha pamoja viungo wa kati Ross Barkley ,23, na Eric Dier, 23,
 Mkufunzi wa Spurs Mauricio Pochettino anataka kuwachezesha pamoja viungo wa kati Ross Barkley ,23, na Eric Dier, 23, iwapo atafanikiwa kumsajili kiungo huyo wa kati kutoka Everton mnamo mwezi Januari. (Sun)

No comments:

Post a Comment