MABAO
mawili ya Achraf Bencharki na lingine la Walid El Karti jana yameipa
ushindi wa 3-1 Wydad Casablanca dhidi ya USM Alger na kuingia fainali ya
Ligi ya Mabingwa Afrika.
Katika
mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Mohamed V mjini Casablanca usiku wa
jana, bao la kufutiaa machozi la USM Algver lilifungwa na Ayoub
Abdellaoui na sasa Wydad inakwenda fainali kwa ushindi wa 3-1 baada ya
sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza.
Karti alifunga dakika ya 26 na Bencharki akafunga dakika za 54 na 90 na ushei, wakati Abdellaoui aliwafungia USM Alger dakika ya 67.
Karti alifunga dakika ya 26 na Bencharki akafunga dakika za 54 na 90 na ushei, wakati Abdellaoui aliwafungia USM Alger dakika ya 67.
Nusu
fainali nyingine ya pili ya Ligi ya Mabingwa itazikutanisha, wenyeji Al
Ahly SC na Etoile du Sahel ya Tunisia Uwanja wa Borg El Arab mjini
Alexandria, Misri kuanzia Saa 2:00 usiku leo.
Ahly wanahitaji hata ushindi wa 1-0 ili kwenda Fainali, baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Oktoba 1 Uwanja wa Olimpiki mjini Sousse, Tunisia.
Timu hiyo ya DRC, sasa itakutana na mshindi wa jumla kati ya SuperSport United ya Afrika Kusini na Club Africain ya Tunisia katika fainali mwezi ujao.
SuperSport wamesafiri kuifuata Africain nchini Tunisia kwa mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya michuano hiyo leo, wakitoka kutoa sare ya 1-1 Oktoba 1 mjini Pretoria.
Kikosi cha Wydad Casablanca kilikuwa: Laaroubi, Rabeh, Noussir, Atouchi, Saidi, Karti, Nakach, Gaddarine/Hachimi dk64, Bencharki, Ounajem/Aoulad dk85 na Haddad/Khadrouf dk74.
USM Alger: Zemmamouche, Meftah, Benmoussa, Chafaï, Abdellaoui, Sayoud, Benkhemassa, Benguit/Hamzaoui dk69, Yaya/Beldjilali dk75, Meziane na Darfalou.
Ahly wanahitaji hata ushindi wa 1-0 ili kwenda Fainali, baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Oktoba 1 Uwanja wa Olimpiki mjini Sousse, Tunisia.
Wakati
huo huo: TP Mazembe imetoa sare ya 0-0 na wenyeji, FUS Rabat katika
mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Afrika
usiku wa jana Uwanja wa FUS mjini Rabat nchini Morocco.
Matokeo hayo yanamaanisha Mazembe inakwenda fainali baada ya kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani.Timu hiyo ya DRC, sasa itakutana na mshindi wa jumla kati ya SuperSport United ya Afrika Kusini na Club Africain ya Tunisia katika fainali mwezi ujao.
SuperSport wamesafiri kuifuata Africain nchini Tunisia kwa mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya michuano hiyo leo, wakitoka kutoa sare ya 1-1 Oktoba 1 mjini Pretoria.
Kikosi cha Wydad Casablanca kilikuwa: Laaroubi, Rabeh, Noussir, Atouchi, Saidi, Karti, Nakach, Gaddarine/Hachimi dk64, Bencharki, Ounajem/Aoulad dk85 na Haddad/Khadrouf dk74.
USM Alger: Zemmamouche, Meftah, Benmoussa, Chafaï, Abdellaoui, Sayoud, Benkhemassa, Benguit/Hamzaoui dk69, Yaya/Beldjilali dk75, Meziane na Darfalou.
No comments:
Post a Comment