YANGA KUJIPIMA NGUVU NA TIMU YA KMC
Kikosi cha timu ya Yanga siku ya jumapili kinataraji kushuka dimbani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya KMC inayoshiriki ligi daraja la kwanza.
Afisa Habari msaidizi wa
Yanga,Godlsiten Anderson Chicharito amesema kwamba mchezo huo utachezwa
kwenye uwanja wa Azam Complex ulioko Chamazi.
Chicharito alisema kwamba kocha
mkuu wa timu hiyo anataraji kuutumia mchezo huo kuwaweka sawa wachezaji
wake hasa baada ya kusimama kwa ligi kupisha mchezo wa kirafiki kwa timu
ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars

No comments:
Post a Comment