Friday, October 6, 2017

Theo Walcot,Mesut Ozil wapigwa Mnada Mwezi Januari

Theo Walcott kuondoka Arsenal na kujiunga na klabu yake ya zamani Southampton

Arsenal itamuuza mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcot na kiungo wa kati Mesut Ozil wote wakiwa na umri wa miaka 28 mnamo mwezi Januari.

Walcott anatarajiwa kujiunga na klabu yake ya zamani Southampton.

No comments:

Post a Comment